Round ya tatu ya upimaji wa virusi vya Corona EPL kwa wafanyakazi 1008 wa Vilabu vya Ligi Kuu England umefanyika Jumanne na Jumatano na wafanyakazi wanne kutoka club 3 za EPL kukutwa na maambukizi ya Corona.
Michezo
Wafanyakazi wanne EPL wagundulika kuwa na Corona
on
