Top Stories

Wafuasi wa Chadema walivyozuiliwa kuingia Mahakamani kusikiliza kesi ya Mbowe (video+)

on

Ni Septemba 16, 2021 ambapo ni mwendelezo wa usikilizwaji wa kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake.

Sasa sintofahamu iliyojitokeza ni baada ya watu na waandishi wa habari kuzuiwa Mahakamani hapo kusubiria utaratibu mpya uliopangwa na mahakama.

Utaratibu mpya uliotangazwa Mahakamani leo ni kupunguza idadi ya wanaoingia ndani ya Mahakama kufuatilia kesi hiyo ambapo Mawakili walioruhusiwa ni 20, Waandishi wa Habari 10, Watu Maalum 3, Viongozi 5 na Ndugu 5.

TUNDU LISSU AFUNGUKA UTARATIBU MPYA WA USIKILIZWAJI WA KESI YA MBOWE “HAKI LAZIMA IFANYIKE”

Soma na hizi

Tupia Comments