Top Stories

“Wafukuzeni kazi hawafai” Bashungwa amuagiza Mkurugenzi (+video)

on

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwafukuza kazi wafanyakazi wa shirika hilo wanaowatoza fedha na wanaochelewesha zoezi Kutoa nembo ya ubora kwa bidhaa zinazotengenezwa kwenye Viwanda vidogo

Bashungwa amefikia maamuzi hayo baada ya kufika kiwandani hapo na kukagua bidhaa za kiwanda hicho ambayo ni unga wa viazi lishe na kugundua hazina nembo ya ubora ya TBS, ambayo changamoto hiyo imesababiswa na wafanyakazi wa shirika la TBS kwa kuwaomba fedha kwa ajiri ya kupewa nembo ya ubora pia kuchewesha kwa zaidi ya miezi saba bila kupewa majibu au nembo ya ubora.

RAIS MAGUFULI AWAVAA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR AWAPA ONYO KALI, AELEZA SABABU ZA YEYE KUGOMBEA

Soma na hizi

Tupia Comments