Top Stories

Wagombea Ubunge wa CHADEMA Kigamboni, Kinondoni, Arumeru wawekwa wazi

on

CHADEMA kimemteua Lazaro Nyalandu kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Suzan Lyimo kugombea Jimbo la Kinondoni, Lucy Magereli Kigamboni, Salome Makamba Jimbo la Shinyanga Mjini, Gibson Ole Meiseyeki kugombea Jimbo la Arumeru Magharibi, na Aboubakar Mashambo Jimbo la Bumbuli.

Soma na hizi

Tupia Comments