Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Wagonjwa 17 wafariki kwa mafuriko wakiwa hospitali
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Wagonjwa 17 wafariki kwa mafuriko wakiwa hospitali
Top Stories

Wagonjwa 17 wafariki kwa mafuriko wakiwa hospitali

September 8, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Takribani wagonjwa 17 wameripotiwa kufariki baada ya mvua kubwa iliyosababisha mafuliko katika hospitali ya mji wa Tula,Mexico.

Baadhi ya wahanga walikuwa hospitali hapo wakipatiwa matibabu ya uviko 19 kwa kutumia mashine ya oxygen, kabla ya kingo za mto kupasuka, maji kusambaa na kusababisha umeme kukatika.

Wagonjwa arobaini ( 40 ) wamefanikiwa kuhamishwa na kikosi cha uokoaji wakati boti iliyokuwa ikimsafirisha Gavana wa Jimbo hilo  Omar Fayad Ilizama ingawa hakupata madhara na hali yake ni salama kama alivyoeleza kupitia mtandao wa twitter huku akisisitiza kwamba mamlaka za serikali zitaendelea kuratibu shughuli za dharura na uokoaji katika maeneo yaliyoathirika.

Naye Rais wa Mexico Andrés Manuel López Obrador amesema amesikitishwa sana na vifo vilivyotokea hospitali hapo.
amewataka wakaazi wa maeneo yaliyoathirika kuhama makazi hayo au kukaa na jamaa na marafiki katika maeneo salama.

Zaidi ya watu 30,000 katika miji mbalimbali nchini humo wameathiriwa na mafuriko hayo.

EXCLUSIVE: MAISHA YA HAJI MANARA, KUZALIWA AMSTERDAM, WAKE WATATU, MSHAHARA MPYA, KUGOMBEA 2025 N.K

You Might Also Like

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA September 8, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article EXCLUSIVE: Maisha ya Haji Manara nje ya mpira, Ndoa zake 3, kuzaliwa kwake Ulaya, mshahara mpya Yanga na mengine
Next Article Wafungwa 41 wafariki gereza likiteketea kwa moto
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?