Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameonesha dalili ya lockdown kulegezwa “hatuwezi kuendelea kusema Wakenya tukae nyumbani msiende kazini au kwenye biashara zenu, nimewaambia Mawaziri wetu waanze kuwaeleza Wakenya kwamba hatuwezi kuendelea na lockdown”.