Top Stories

Wagonjwa wa Corona waongezeka Tanzania

on

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amethibitisha kuwepo wagonjwa wapya 5 wa COVID-19 nchini Tanzania na hivyo kufanya idadi ya waathirika kufikia 19. Kati ya wagonjwa hao wapya, watatu ni kutoka Dar es Salaam na wawili kutoka Zanzibar.

“Leo March 30,2020 tumethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya watano wa corona, watatu ni kutoka DSM na wawili ni kutoka Zanzibar,hivyo kwa sasa tuna jumla ya wagonjwa 19 akiwemo mgonjwa aliyetolewa taarifa na Waziri wa Afya wa Zanzibar March 28,2020”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu 

RC MWANRI ACHACHAMAA “MNAWEKA MATANGA, NITAWAKUMBA WOTE”

Soma na hizi

Tupia Comments