fB insta twitter

Hoja ya kukata Mishahara ya wabunge wanaosusia vikao imefikia hapa

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.

Moja ya story kubwa June 06 2016 kwenye gazeti la Jambo leo ni hii yenye kichwa cha habari ‘Hoja kukata mishahara ya wabunge yakwama’

Gazeti hilo limeeleza kuwa mara baada ya kuanza kwa mgomo wa wabunge wa upinzani May  30 2016, baadhi ya wabunge wamekuwa wakiomba miongozo bungeni kutaka ufafanuzi endapo wabunge waliosusia vikao wanapaswa kulipwa posho kamili sawa na wenzao wanaoendelea na vikao.

Gazeti hilo limeripoti kuwa jana Naibu Spika Dk. Tulia Ackson alijibu miongozo hiyo akibainisha kuwa wabunge hao wataendelea kulipwa posho zao kamili kwani hakuna sheria zinazozuia malipo ya mishahara na posho za wabunge hao.

ULIKOSA WALICHOKIZUNGUMZA CCM BAADA YA UPINZANI KUSEMA WANAENDA KWA WANANCHI KUSHITAKI? UNAWZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments