Top Stories

Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kisa kumteka mtoto (video+)

on

Mahakama Kuu Kanda ya Kigoma imewahukumu kunyongwa hadi kufa Atu wawili wakazi wa wa kijiji cha Gwanumpu Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumuua Mtoto wa miaka 12 waliomteka wakishinikiza Wazazi wake wawapatie shilingi milioni 5.

 

Tupia Comments