Mix

Madhara watakayoyapata wajawazito kwa kula chipsi

on

Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.

Tayari nimezikusanya stori za Magazeti ya May 21 2016 na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine, moja ya stori kubwa ni hii kauli ya mtaalamu wa lishe wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Denis Mbinga katika mahojiano na Gazeti la Mtanzania.

Katika mahojiano hayo Mbinga alisema matatizo ya watoto kuzaliwa na vichwa vikubwa , mgongo wazi na magonjwa mengineyo katika siku za karibuni yameongezeka kutokana na ulaji wa vyakula visivyofaa na hasa chipsi na vile vilivyosindikwa viwandani.

 

HII NDIO VIDEO YA ALIYEKUWA WAZIRI MAMBO YA NDANI, KITWANGA AKIJIBU MASWALI BUNGENI NA KUDAIWA ALILEWA.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments