Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es salaam (DART) imetangaza ruti mpya ya Mabasi ya Mwendokasi ambayo yameanza kutoa huduma kuanzia Morroco hadi Kawe kupitia Barabara ya Old Bagamoyo jijini Dar es salaam.
Hii ni route ya tatu kwa Mabasi hayo kuanza kutoa huduma kwa siku za hivi karibuni baada ya kutangaza route ya Shekilango, Bamaga hadi Mwenge na route nyingine.
MSEMAJI MKUU WA SERIKALI GERSON MSIGWA ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI