Habari za Mastaa

Wakali wa Amapiano Dj Maphorisa na Kabza wameiletea hii video mpya “Hello”

on

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa time hii Dj Maphorisa na Kabza De Small wametuletea video mpya ya wimbo wao uitwao Hello.

Hello ulitoka rasmi katika ep yao ya kwanza waliyoipa jina la Scorpion Kings mnamo Mwaka 2020.

Video hii imetayarishaji Lagos nchini Nigeria chini ya director  Nigel Stockl.

 

Soma na hizi

Tupia Comments