Habari za Mastaa

Wakali wa Amapiano Major League Dj’z kuinogesha Elements Masaki DSM

on

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Sasa Habari njema ninayotaka kukusogezea ni kwamba Wakali wawili mapacha wanaounda kundi la Major League Dj’z wanatarajiwa kutoa burudani Dar es Salaam.

Wakali hao watainogesha Elements BAR iliyopo Masaki Dar es Salaam Ijumaa ya leo 7th January 2022.

 

Tupia Comments