Habari za Mastaa

Wakali wa Amapiano wameileta hii Umlando video itazame hapa

on

Mbali na kwamba South Africa bado wanaendelea kupeta kwenye vichwa vya habari Duniani kwa utoaji wa ladhaa tofauti ya muziki wao unaotamba kwa jina la Amapiano.

Hapa wametuletea video hii mpya ya wimbo uitwao Umlando, itazame hapa, wimbo umeimbwa na 9umba, Toss & Mdoovar & Sir Trill & Young Stunna.

Tupia Comments