Habari za Mastaa

Wakamatwa kusambaa kwa video ikiwaonesha wakipiga busu juu ya gorofa huko Iran

on

Ni Headlines za Mwanamichezo maarufu kutokea nchini Iran aitwae Alireza Japalaphy ambae imeripotiwa kwasasa yuko mikononi mwa Polisi baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha akimpiga busu mrembo juu ya gorofa.

Kwa mujibu wa kaka yake alisema Alireza alichukuliwa nyumbani na Mapolisi kwa kosa hilo la kukiuka maadili ya kiislamu, japo familia yake inamtetea na kusema kuwa video hiyo haimbatani na maadili ya kiislamu.

Unaweza ukabonyeza play kujionea tukio la Alireza lililomfanya kupelekea kukamatwa na Polisi

MBWANA SAMATAA AFUNGA GOLI BORA LA MWAKA

Soma na hizi

Tupia Comments