Top Stories

“Wakamatwe Maboss wasiotoa mshahara kisa Corona, Magufuli analipa Walimu” (+video)

on

Diwani wa Kata ya Bomambuzi Juma Raibu amewataka Viongozi wa Wilaya ya Moshi kuwakamata Maboss wa Makampuni wasiolipa Wafanyakazi mishahara kipindi hiki wakidai Corona.

“Baadhi ya Makampuni binafsi wanawanyima Wafanyakazi mishahara na wengine wanatoa nusu, DAS na Viongozi wengine waingie mtaani wahakikishe wanawakamata Maboss wasitoa mishahara kisa Corona, Serikali inalipa Walimu na wapo nyumbani” Juma Raibu

JAMAA ALIEPIGWA MARUFUKU HASIUZIWE POMBE AJITOKEZA “SHERIA HAIKATAZI NISIUZIWE, WANANIDHALILISHA”

Soma na hizi

Tupia Comments