Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Mabibi na Mabwana Rapper Wakazi ametusogezea hii video yake mpya

on

.

.

Rapper Wakazi time hii ametusogezea video mpya ya single yake inayoitwa One Day yes itakayopatikana kwenye mixtape yake mpya aliyoipa jina la Live from Stakishari inayotarajia kutoka mwezi huu.

Video hiyo imeongozwa na Nova wa GhaphX production.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram,  na Facebook,  ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments