Top Stories

Wake wawili wa Aweso walivyoibua shangwe Bungeni, mwenyewe asema “nawapenda sana”

on

Kutoka Bungeni Dodoma leo Mei 12 2022 ni mkutano wa 7 kikao cha 21 cha Bunge la bajeti na leo ni zamu ya Wizara ya Maji kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 na mwenye dhamana hiyo ni Waziri Jumaa Aweso ambapo kabla hajaanza kuwasilisha hotuba yake ilikuwa ni utambulisho wa Wageni wake wakiwemo Wake zake wawili waliokuwa wamekaa sehemu moja na kuibua shangwe kwa Wabunge.

Soma na hizi

Tupia Comments