Top Stories

Wakili wa Sabaya: Sabaya alizimia? tumeamua tu kunyamaza, hukumu ni nzuri

on

Ulipata taarifa iliyomnukuu Wakili wa Lengai ole Sabaya kwamba kasema amefurahishwa na Hukumu ya Sabaya? ulisikia kwamba Mawakili wa Lengai Ole Sabaya wamejitoa kuendelea kumtetea Sabaya? ulisikia taarifa kwamba Sabaya amezimia baada ya hukumu na kwamba ameshatoa mahari kwa ajili ya kujiandaa kuoa? kama uliyasikia yote hayo hii video ni kwa ajili yako.

SABAYA MAHAKAMANI TENA LEO, KESI NYINGINE YA KUJIITA USALAMA WA TAIFA

 

 

Tupia Comments