Top Stories

‘Wala mirungi’ wamlawiti mtoto “wananifanya”, Diwani afichua “wanampa 500” (+video)

on

Diwani wa Kata ya Bomambuzi Juma Raibu amefanikiwa kuwakamata Vijana wawili wanaotuhumiwa kumlawiti Mtoto mdogo kwa zamu na kumpa Shilingi 500.

“Mtoto wakiume wa darasa la pili aliniambia ameng’atwa na mbwa kwenye makalio baada ya kuchunguza kwa kina tuligundua hajang’atwa na mbwa ila alikuwa analawitiwa na Vijana wawili ambao wanakaa Mtaa wa Relini, tuliweka mtego na kuwakamata vijana hao wawili” Diwani Juma Raibu

BREAKING: LIJUALIKALI AVUJISHA SIRI ZA CHADEMA, AMVAA MBOWE, LISSU, BULAYA | MADAI YA MAMILIONI

Soma na hizi

Tupia Comments