Michezo

Wale wapenda Versace – wametoa T-shirts maalum kwa ajili ya kombe la dunia

on

z4hMfetk_ZogCiE8Kmapuni ya mavazi ya Versace wametoa T-shirts maalum kabisa kwa ajili ya kuvaliwa wakati huu wa kombe la dunia.

T-shirts hizo ambazo zimeanza kuuzwa kwenye mtandao zinauzwa kwa bei ya  $690 na £410 kulingana na size na material yaliyotumika kutengeneza.

Fulana hizo zimepewa jina la “Versace Loves Brazil T-shirt”.

screen-shot-2014-05-28-at-10-32-17-am

Tupia Comments