AyoTV na millardayo.com imefanya mahojiano na Mzee mmoja mkazi wa Mkoa wa Kagera anaeleza mila na desturi zilivyosababisha wazazi kuua watoto wao wakiwa wamezaliwa walemavu huku akieleza sababu zilizopelekea hali hiyo kuisha katika maeneo hayo.
WIZARA “HEKIMA ITATUMIKA USAJILI WA LAINI KWA WASIO NA VITAMBULISHO VYA TAIFA”