Top Stories

Kamanda awaonya walevi Christmas “ukilewa ni kosa la jinai tutakukamata” (+video)

on

Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Songwe, George Kyando amewaonya watu wanaokunywa Pombe kupita kiasi kwenye Mkoa huo, na kusema jeshi hilo halitawavumilia watu hao litawafikisha mahakamani.

Kamanda wa Polisi Kyando ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na waandishi wa habari, mkoani Songwe kuelekea msimu huu wa Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya.

Msimu huu wa sikukuu mtu yeyote atakaye kunywa pombe kupindukia atashughulikiwa Kama wahalifu wengine na kupelekwa mahakamani.” Kamanda Songwe

FANYA FUJO UONE WALIVYOZUNGUKA JIJI LA MBEYA “SHOW OFF”

 

Soma na hizi

Tupia Comments