Top Stories

Waliofariki ajali ya Mwendokasi, Familia yatoa tamko (video+)

on

Usiku wa Septemba 8, 2021 katika mataa ya Lumumba Dar es Salaam ilitokea ajali iliyohusisha Mwendokasi na Jikipiki iliyokuwa na watu wawili ambao waliweza kufariki dunia kutokana na ajali hiyo.

Ayo TV na Millardayo.com imezungumza na familia ya Mmoja kati ya marehemu hao.

CCTV CAMERA ILIVYOINASA AJALI YA MWENDOKASI NA BODABODA, “WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO” DSM

Soma na hizi

Tupia Comments