Top Stories

Waliojitokeza Jimboni kwa Lowassa kuwania Ubunge (+picha)

on

Leo July 16, 2020 Katika Jimbo alilodumu Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa wamejitokeza watia nia kugombea Ubunge zaidi ya wanne wakitaka kumrithi aliekuwa Mbunge Julius Kalanga wa CCM.

Wakwanza ni mtoto wa Lowassa Freddy Lowassa ambaye alikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick ni Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.

Mwingine ni Julius Kalanga ambaye alikua Mbunge wa Monduli kupitia CHADEMA na baadae akahamia CCM na kuchaguliwa tena.

Pia yupo kijana Lotha Mussa Lekasio ambaye ni Afisa Utawala Taasisi ya Ustawi wa Jamii.

Mwenyekiti wa ccm monduli ndugu Wilson lengima leo asubuhi tarehe 14/07/2020 amechukua form ya kuwania nafasi ya ubunge monduli.

“SIJAMTUMA MTU KUGOMBEA, VIJANA WANA TAMAA, HAWARIDHIKI NA VYEO” MAGUFULI APIGA ‘VIJEMBE’

Soma na hizi

Tupia Comments