Top Stories

Waliokula chakula chenye sumu siku ya birthday wamepona Kigoma (+video)

on

Kamanda wa Polisi mkoani Kigoma ACP. James Manyama ameelezea hali za watu waliokula  chakula kilichodhaniwa kua na Sumu katika sherehe ya siku ya kuzaliwa watoto iliyotokea October 17 katika Kijiji Wilaya ya Kasulu kuwa wameruhusiwa kutoka Hospitali.

“Watu wote 152 ambao walikula chakula chenye sumu kwenye birthday party Kasulu Kigoma wanaendelea vizuri na wametoka Hospitali, bado tunasubiri majibu ya sampuli za chakula zilizotumwa kwa Mkemia ili tujue tatizo lilikua nini” – RPC Kigoma James Manyama

Soma na hizi

Tupia Comments