Top Stories

Waliosoma Shule moja warudi kivingine waliposomea “Tulipata Milioni 129” (Video+)

on

Umoja wa Wanafunzi wa kike waliosoma katika shule ya wasichana ya Rugambwa iliyopo Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera wamekabidhi matenki ya kuvuna maji ya mvua katika shule ya Rugambwa ili kuwapunguzia changamoto ya upatikanaji wa maji shuleni hapo

Wanafunzi hao baada ya kuhitimu walianzisha umoja wao kwa njia ya mtandao kwa lengo la kujichanga kwa kile wanachokipata ili kurudisha fadhira shuleni kwao ili kuwasaidia wanafunzi waliopo

Baada ya kukabidhi matenki hayo yaliyopokelewa na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Prof Faustine Kamuzola, Ayo TV na Millardayo.com imempata mwakilishi wa umoja huo na anaeleza kwa kirefu lengo lililowasukuma mpaka kukumbuka waliposomea sambamba na mtandao ulivyowasaidia kuwaunganisha.

Soma na hizi

Tupia Comments