“Walitaka kumpulizia Sabaya sumu usoni” Shahidi Kingai kesi ya Mbowe
Share
0 Min Read
SHARE
Kielelezo cha kwanza cha ushahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili kiongozi CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake kimesomwa kwa mara ya kwanza katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.