AyoTV

VIDEOMPYA: Walter Chilambo ameingia kwenye Gospel, ametuletea ‘Asante’

on

Baada ya kutangaza kuacha bongofleva Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaoitwa ‘Asante’. Anatukaribisha kuangalia, pia usiache kuniachia comment yako juu ya wimbo huu ili Walter akisoma ajue watanzania wamepokea vipi wimbo pamoja na video hii.

Unaweza kuitazama video mpya ya Walter Chilambo ‘ASANTE’ hapa chini>>>

Bonyeza play kama ulimiss kuona Walter Chilambo akiongelea kuacha Bongo Fleva?>>>

Soma na hizi

Tupia Comments