Top Stories

Wamchefua Waziri Jafo huko Uvinza mkoani Kigoma ‘Ole Wenu’

on

Baada ya kufanya ziara Mkoani KATAVI Waziri Jafo ameendelea kufanya ziara yake mkoani Kigoma na leo ameanzia kukagua Miradi Wilayani Uvinza ambapo ametembelea Jengo la Hospitali, na Ujenzi wa Ofisi ya Jengo la Utawala ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza.

”Nilipokuja hapa nimekutana na yule Msanii hakuna Injinia anaongea Vile kama mwanasiasa, kama mmevunja mkataba na TBA vizuri sana TBA wameshanikoroka na nyie msinikoroge anzeni Ujenzi kwa kutumia Force Account” Waziri Jafo

‘CHACHA AIINGIA 18 ZA WAZIRI JAFO” KATIBU MKUU APEWA MAELEKEZO

Soma na hizi

Tupia Comments