Top Stories

Wagonjwa wa Corona wamepungua “Hospital za private wapo” (+video)

on

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe amesema kuwa wagonjwa wa corona nchini wamepungua katika vituo vya kutolea huduma za afya na kuwataka watoa huduma za afya kujitahidi kutoa huduma bora kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na magonjwa mengine pia.

HUYU NDIE MAMA ALIETEMEWA MATE YENYE CORONA, AMEFARIKI MWENZIE ANAUMWA

Soma na hizi

Tupia Comments