Top Stories

NI UREMBO? Mwanamke avunja rekodi ya kucha ndefu duniani

on

Maajabu hayawezi kuisha duniani. Pale wanawake na mabinti wengine wanapohangaika kwa miaka mingi kufuga nywele zao ili ziwe ndefu, mwanamke Ayanna Williams wa Houston Texax, Marekani ameingia kwenye rekodi ya dunia ya mtu mwenye kucha ndefu zaidi za mikononi.

Ayanna ameeleza kuwa amezifuga kucha zake hizo kwa miaka 24 ambazo zinaripotiwa kuwa na urefu wa sentimita 576.4 na hii imemfanya awe na spidi ndogo sana katika kufanya mambo mbalimbali kwa kutumia mikono yake kutokana na urefu wa kucha zake lakini suala hilo halimsumbui.

“Nalipa watu wa kunisaidia kufanya kazi za ndani kwa sababu niko taratibu sana, na kazi nyingine siwezi kufanya kabisa kwa sababu ya urefu wa kucha zangu.” Ayanna Williams.

Image result for ayanna williams

Image result for ayanna williams

Image result for ayanna williams

ALICHOJIBU BEN POL BAADA YA KUHOJIWA: Ni kuhusu kumuacha Ebitoke

YA RICK ROSE KUMPOST DIAMOND NAYO IKO HAPA…TAZAMA KWA KUPLAY VIDEO HII

Soma na hizi

Tupia Comments