Top Stories

Wanafunzi 100 wilaya Temeke wapewa kadi za bima, DC Jokate ahudhuria

on

Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo jana amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa kadi za bima ya afya kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.

Zoezi hilo limeandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ikishirikiana na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIFs ambapo jumla ya kadi za Bima ya Afya 100 zimegawiwa, huku gharama ya kila kadi ikiwa ni shilingi za Kitanzania Elfu hamsini na mia nne(50,400).

.

.

Jokate amesema amefurahishwa na kuliunga mkono jambo hilo huku akitoa rai kwa Makampuni na Taasisi mbalimbali kuwekeza, hususani katika afya na makundi Maalum kama vile Watoto.

.

Jokate amesisitiza kuhusu NHIF kutoa elimu juu ya masuala ya afya kwa Watanzania wote maana afya ni jambo

KANALI ALIYEMPINDUA RAIS CONDE, ATOA MSIMAMO MWINGINE, AGOMEA SHINIKIZO “HALALI YA WATU WA GUINEA”

BUMBULI AMJIA JUU ANTONIO NUGAZ “GSM ALIYETOA HELA AITWAJE?”

Soma na hizi

Tupia Comments