Mix

Wanafunzi 695 ndani ya choo kimoja, Walimu 16 hawajapata makazi bado?

on

 

Screen Shot 2015-07-27 at 7.27.31 PM Kiukweli Tanzania tunajitahidi sana kwa kuwekeza kwenye elimu na kuhakikisha watoto wetu wanafikia malengo katika maisha yao

Lakini ziko baadhi ya shule haswa zilizopo Vijijini bado zinahitaji nguvu za ziada katika kuboresha elimu na mazingira kwa ujumla, Leo Mtu wangu nimetembelea katika Wilaya ya Namtumbo iliyoko Mkoani Ruvuma nikakutana na hii shule ya Msingi Namtumbo yenye wanafunzi 695 na walimu 19 mazingira ya shule bado hayavutii na chakushangaza zaidi shule ina choo kimoja tu! na nyumba tatu za walimu na mpaka sasa walibu bado hawajajengewa choo..
Screen Shot 2015-07-27 at 7.27.37 PM

Screen Shot 2015-07-27 at 9.37.30 PM

Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Namtumbo akizungumza na Millardayo.com

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.10 PM

Wanafunzi wa shule ya Msingi na Namtumbo

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.20 PM

Hapa wanafunzi wakiingia shuleni

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.28 PM

Hili ndio Darasa kwa muonekano wa ndani

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.35 PM

Wanaunzi wakiingia darasani tayari kwa masomo

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.45 PM

Screen Shot 2015-07-27 at 9.45.52 PM

Mwalimu Mkuu akiwa nje ya ofisi yake

Screen Shot 2015-07-27 at 9.46.00 PM

Hii ndio Ofisi ya walimu

Screen Shot 2015-07-27 at 9.46.08 PM

Screen Shot 2015-07-27 at 9.46.14 PM

Choo kinachotumika na wanafunzi wa shule ya Msingi Namtumbo

Tupia Comments