Top Stories

“Wanafunzi mkatae lift ipo siku na nyie mtaombwa” Katibu Makungu (+video)

on

Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI katika Mkoa wa Tabora yameshuka kutoka asilimia 7 kwa mwaka 2013/14 hadi kufikia asilimia 5 kwa mwaka 2017 ambapo kupitia takwimu hizo wanaume wameonekana kukwepa kupima na kujua hali zao.

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Robert Makungu amewaasa watoto kukwepa vishawishi vinavyoweza kuwaangamiza.

WAZIRI LUKUVI AMTUMBUA MKUU WA IDARA, MWENYEWE AJITETEA KULA FEDHA ZA WATU

Soma na hizi

Tupia Comments