Top Stories

Wanafunzi Mwanza Sekondari wanapewa chai ya tangawizi kutwa mara mbili (+video)

on

Shule zote nchini zimefunguliwa kufuatia agizo la Rais Magufuli baada ya kufungwa miezi mitatu imepita kujikinga na ugonjwa COVID19, AyoTV imeongea na Mkuu wa Shule ya Mwanza Sekondari namna wanavyochukua tahadhari.

DUUH: PROF. JAY AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI MKUTANONI, AWATAKA WANANCHI WAMPIGIE MAKOFI NA SHANGWE

Soma na hizi

Tupia Comments