Top Stories

Wanajeshi waliompindua Rais Conde, waanza kuwapokea viongozi mbalimbali (video+)

on

Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo.

Hapa nimekusogezea taarifa mpya ambapo baadhi ya mataifa yameanza kuwasili katika nchi hiyo ili kutatua mgogoro uliopo kwasasa.

RAIS ALIEPINDULIWA AKINGIWA KIFUA NA MATAIFA, RAIS WA GHANA ASEMA “JESHI LAO LIMEKIUKA MAKUBALIANO”

Tupia Comments