Top Stories

Wanakikundi waangua kilio kwa mweka hazina wakidai Milioni 39 zilizoyeyuka (+video)

on

Wanachama wa kikundi cha ujasiriamali cha Amani Arusha ambao walidai kupotea kishirikina kwa million 39 za kikundi chao leo walitinga nyumbani kwa Muweka hazina kwa  lengo la kumdai, hata hivyo waliambiwa hayupo jambo lililofanya waanze kuangua vilio tena.

RC MWANRI ANG’ANG’ANIA WATUMISHI “SIOMBI MSAMAHA NADUNDA KAMA TYSON”

Soma na hizi

Tupia Comments