Top Stories

Wananchi wamchanganya Rais Magufuli amshusha mlinzi wake kwenye gari aelezee (+video)

on

Katika hali isiyokuwa ya kawaida Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemshusha kwenye gari mlinzi wa ili amuelezee kwa uzuri baadhi ya mambo ambayo wananchi wa Kibiti wameyalalamikia.

Miongoni mwa mamboa ambayo Rais Magufuli aliyolalamikia ni kero ya maji, ubovu wa barabara, na kutokuwepo kwa gari la kubebea wagonjwa.

Soma na hizi

Tupia Comments