Top Stories

Wanaodaiwa kumteka Seleman wafikishwa Mahakamani “wanataka Milioni 30” (+video)

on

Watu wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka manne ikiwemo la utekaji nyara.

Washitakiwa hao ni Angellah Kiwia(41) na mwenzake, Mohamed Rushaka(36) ambao wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali, Ester Martine, mbele ya Hakimu Mwandamizi, Rashid Chaungu.

MAGUFULI ATEUA MKUU WILAYA MPYA WA MTWARA

Soma na hizi

Tupia Comments