Michezo

Wanariadha waondolewa Olimpiki kwa kuwa na homoni za kiume

on

Wanariadha wa Namibia, Christine Mboma na Beatrice Masilingi wameondolewa katika mashindani ya mbio za Mita 400 za Olimpiki za Wanawake baada ya vipimo kuonesha wana viwango vya juu vya ‘Testosterone’.

Wawili hao walitazamiwa kuwa miongoni mwa wagombea medali lakini vipimo vilivyofanywa katika kambi yao ya mazoezi huko Italia vimepelekea waondolewe.

Caster Semenya (Afrika Kusini), Francine Niyonsaba (Burundi) na Margaret Wambui (Kenya) wameshindwa kushiriki mbio za Mita 800 baada ya kukataa kushusha viwango vya ‘Testosterone’ kwa kutumia Dawa.

YANGA WAMEINGIA NA KUKU UWANJANI, SHABIKI AFUNGUKA “DAMU YA NJANO, SIMBA ANAFUNGWA’

Soma na hizi

Tupia Comments