Top Stories

Wanawake waliopandikizwa mimba wapata watoto watano Tanzania (video+)

on

Timu ya Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya kinamama na uzazi kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa kushirikiana na Madaktari wa Kituo cha Tiba cha avinta cha Jijini arusha wamefanikisha zoezi la kuwazalisha Wanawake waliowafanyia Tiba ya kupandikiza Mimba ikiwa ni mara ya kwanza kwa zoezi hilo kufanywa na Madaktari Watanzania pekee yao.

HALIMA MDEE ALIVYOSIMAMA KUULIZWA SWALI ‘KWANINI MSIWE WAKWELI KAMA MNALIPA MADENI MWAKA HUU’

 

 

Tupia Comments