Top Stories

Wanunuzi wa viungo vya vyakula wamekuja Tanzania kukutana wazalishaji (+picha)

on

ITC kwa kushirikiana na TANTRADE imepokea Wafanyabiashara ambao ni wanunuzi wa bidhaa za viungo vya chakula kutoka India, lengo la ujio wao ni kuwakutanisha na Wazalishaji na Wafanyabiashara wa viungo vya chakula kutoka umoja wa wadau katika Sekta ya viungo Tanzania.

Wafanyabiashara kutoka India wamedhamiria kufanya biashara moja kwa moja kwa kumtambua mzalishaji na muuzaji wa bidhaa hiyo na katika msafara huu EPZA itakuwa na jukumu la kuhamasisha wafanyabishara hao kuwekeza nchini.

UTATA FAMILIA YAGOMA KUMZIKA MTOTO WAO ALIYETUHUMIWA KUBAKA

Soma na hizi

Tupia Comments