Michezo

Wanyama aeleza Mane alivyohisi ananyimwa pasi Southampton

on

Kiungo Mkenya Victor Wanyama ambaye kwa sasa anaichezea Montreal Impact ya Canada amefunguka kuhusu maisha yake na staa wa Liverpool Sadio Mane ambaye walikuwa wakicheza nae wote Southampton (2014-2016)

“Tulikuwa kama familia chini ya baba mmoja Pochettino lakini Mimi na Mane tulikuwa kama ndugu zaidi, Schneiderlin alikuwa rafiki mzuri pia” >>> Wanyama

“ilifikia point Mane alinifuata na kuniambia ‘hi man’ tunaweza kucheza kwa ukaribu hawataki nifunge nilikubaliana nae na wakati wowote nilipokuwa napata mpira nilikuwa nampasia”>>> Wanyama akihojiwa na Madgoat TV

Soma na hizi

Tupia Comments