Top Stories

Waombaji wa VISA za China sasa kuchukuliwa alama za vidole

on

Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa ofisi za Ubalozi wa China hapa nchini imeanzisha mfumo wa kuchukua alama za vidole kwa waombaji wa Visa ambao ulizinduliwa rasmi Desemba 24 mwaka jana.

“BUNGE HALIJAVUNJWA SISI HATUJATANGAZA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU”

Soma na hizi

Tupia Comments