Top Stories

“Waondolewe kazini kuanzia leo” kwa sababu ya bangi Magufuli atumbua Maafisa Polisi (+video)

on

Rais John Magufuli amemuagiza Mkuu wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro kuwaondoa na kuwapangia kazi nyingine OCD wa Wilaya ya Meru, ofisa usalama na OCCID kwa kushindwa kusimamia wajibu wao.

GONDWE AWAACHA HOI WATU IKULU KASHTUKIZWA KUONGEA NA MSIGWA KAKOSA CHA KUSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments