Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: ‘Wapeni Wananchi wangu Pikipiki zao na muwape Elimu ili wasivunje Sheria’- Mbunge wa Ulanga
Share
Notification Show More
Latest News
Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.
September 30, 2023
Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi
September 30, 2023
Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.
September 30, 2023
Watumishi watakiwa kujipanga kustaafu pindi wanapoajiriw.
September 30, 2023
Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.
September 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > ‘Wapeni Wananchi wangu Pikipiki zao na muwape Elimu ili wasivunje Sheria’- Mbunge wa Ulanga
Top Stories

‘Wapeni Wananchi wangu Pikipiki zao na muwape Elimu ili wasivunje Sheria’- Mbunge wa Ulanga

May 19, 2023
Share
3 Min Read
.
SHARE

Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro Mhe Salim Alaudin Hasham Almas amewaomba wakala wa huduma za misitu Tanzania (Tfs) kuachia pikipiki za vijana wa bodaboda walizozishikilia kwa kosa la ubebaji mkaa bila kibali kwani vijana hao hawakupewa elimu ya kutosha kuhusu namna bora ya kufanya biashara hiyo.

Akiongea mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu mbunge huyo amesema chanzo cha vijana hao kutenda kosa hilo limetokana na wakala hao kutokuwa karibu na wafanyabiashara wa mazao ya misitu hivyo kupelekea watu kuvunja sheria pasipo kujua kwa kukosa elimu stahiki ya namna bora ya kufanya biashara hiyo.

.
.

Pia Mbunge Salim Almas amewataka vijana wa bodaboda kuacha kuvunja sheria kwa makusudi baada ya wao kupewa elimu kwa kutegemea viongozi wao watawatetea kwani kwa kufanya hivyo itarudisha nyuma maendeleo ya wilaya yao pamoja na nchi kwa ujumla.

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Dkt Julius Ningu amemuagiza meneja wa wakala wa Huduma za misitu wilaya hiyo Ndg. John Willium Kalabaka kuachia pikipiki zote zikizoshikiliwa kwaajili ya kosa la kubeba mkaa na kisha aandae utaratibu maalum ambao utamfanya mfanyabiashara aelewe namna bora ya kufanya biashara hiyo kwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa ili kulinda misitu hiyo.

Hata hivyo Mkuu wa wilaya Dkt.Ningu pia ametoa siku 10 kwa Uongozi huo wa wakala wa huduma za misitu kuangalia namna bora ya kuwawezesha vijana hao kufanya biashara zao bila changamoto yoyote ili kuondoa migongano ya mara kwa mara kwani ni haki ya kila Mtanzania kufanya biashara halali ndani ya nchi yake bila kubughuziwa kwa kufuata sheria.

Kwaupande wake Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ulanga Ndg. Edson william Solly amewaomba wataalamu wa wilaya hiyo kuwasaidia wananchi katika kutatua changamoto zao na sio kuwakandamiza kwani kwa kufanya hivyo tunawarudishe nyuma kimaendeleo.

.
.
.

Zaidi ya pikipiki 30 zilishikiliwa kwa kosa hilo la kubeba mkaa bila kibali maalum na tayari pikipiki hizo zinafanyiwa utaratibu wa kurejeshwa kwa wamiliki pamoja na kupatiwa elimu ili kuepusha uvunjifu wa sheria kwa wakati mwengine.

.
.

You Might Also Like

Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.

Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi

Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.

Watumishi watakiwa kujipanga kustaafu pindi wanapoajiriw.

TASAC kusisitiza matumizi sahihi ya vyombo vya majini.

Edwin TZA May 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Picha: Mkutano wa CHADEMA mei 19, 2023 Kata ya Busunzu Mkoani Kigoma
Next Article Naibu Waziri Mwana FA ampongeza GSM kwa Uwekezaji Yanga SC
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.
Top Stories September 30, 2023
Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi
Top Stories September 30, 2023
Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.
Top Stories September 30, 2023
Watumishi watakiwa kujipanga kustaafu pindi wanapoajiriw.
Top Stories September 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mke wa rais aliyepinduliwa nchini Gabon ashtakiwa kwa ‘utakatishaji wa fedha’.

September 30, 2023
Top Stories

Burkina Faso: Uchaguzi sio muhimu kama usalama wa nchi: Kiongozi wa serikali ya kijeshi

September 30, 2023
Top Stories

Tupac Shakur: Duane Davis kushtakiwa kwa mauaji ya rapper 1996.

September 30, 2023
Sports

Anthony kurejea mazoezini baada ya sekeseke lililomkuta.

September 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?