AyoTV

VIDEO: Majibu ya serikali kuhusu kuwafukuza wapangaji wa NHC

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi alilazimika kusimama Bungeni Dodoma na kuelezea kuhusu taarifa za serikali kupanga kuwafukuza wapangaji wote wa nyumba za shirika la nyumba (NHC).

Ni baada ya Mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa kutaka ufafanuzi wa serikali kama ipo tayari kutenga maeneo kwa ajili ya kuwapatia wapangaji watakaofukuzwa…. TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

VIDEO: Utani wa Spika Ndugai kuhusu team iliyofungwa 4-0 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments