AyoTV

VIDEO: Mbunge wa Karagwe bungeni na sababu za Wanaume kutooa Wanawake wazuri jimboni

on

Katika zile stori zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii saa kadhaa zilizopita ni pamoja na hii ya mbunge wa Karagwe Innocent Bashungwa aliyesimama bungeni Dodoma kuchangia bajeti ya wizara ya maliasili na utalii, ishu kubwa ikawa ni kwanini Wanaume wengi jimboni kwake hawaoi Wanawake wazuri?

Kuna changamoto kwenye kata ya Bweranyange sisi tupo kwenye Wilaya iliyopo mipakani, kuna kambi ndogo ya Jeshi. Wananchi wangu wananipigia simu wanalalamika kwamba wanaogopa kuoa Wanawake wazuri kwasababu wanahofia watanyang’anywa na Wanajeshi

Pia Bashungwa ameiomba serikali kuhakikisha inaimarisha ulinzi kwenye kata ya Bweranyangi ambako wanajeshi wengi hulinda mpaka wa nchi, ukihitaji kumtazama alivyoongea bonyeza play kwenye hii video hapa chini….

ULIIKOSA HII? ‘KABLA HATUJAINGIA KWENYE JENGO HILI TUWE TUNAPIMWA KAMA TUMEVUTA MARIJUANA’-MBUNGE ULEGA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments