Good news ninayotaka kukusogezea kwa wewe mpenda burudani hususani muziki wa Afrika Kusini unaotamba kwasasa maarufu kama Amapiano.
Ni kwamba warembo wanaounda kundi la liitwalo Tango Supreme wanatarajiwa kuzichezesha live nyimbo za nchini kwao katika kisiwa kiiitwacho Mbudya kilichopo Jijini DAR ES SALAAM
Event hiyo imepewa nguvu na Club ya 1245 huku wakishirikiana na Str8upvibes.
Warembo wanatarajia kukutana na mashabiki zao mnamo tarehe 21th December, 2024 Jumamosi hii.